ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Tuesday, October 30, 2012

KIONGOZI WA UPINZANI RWANDA VICTOIRE INGABIRE AHUKUMIWA MIAKA 8 JELA

Victorie akielekezwa na askari kwenda kupanda gari ya magereza  

Victorie akiongea na waandishi wa habari

 

VIctorie akiagana na wafuasi wake
VIctorie akitafakari maisha ya jela
 
Victorie Ingabire akielekezwa na askari kukwea kwenye karandinga la magereza tayari kuanza safari ya miaka 8 jela

Kiongozi wa upinzani nchini Rwanda Victoire Ingabire  amepatikana na hatia katika kesi ya uhaini iliyokuwa ikimkabili na kuhukumiwa adhabu ya kifungo cha miaka nane jela.
Upande wa mashitaka ulitaka ahukumiwe kifungo cha maisha kwa makosa aliyokuwa akishitakiwa nayo ya kutishia usalama wa nchi.
Mahakama pia imemuona kuwa na hatia ya kudharau mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 nchini Rwanda.
Hata hivyo Ingabire hakuwepo mahakamani kusikiliza hukumu dhidi yake kwa kuwa aliigomea kesi hiyo akisema inachochewa na masuala ya kisiasa.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...